Hot!

Mtandao wa wadau wa sera za mazingira ya Biashara na kilimo wakutana Iringa


Mtandao wa wadau wa sera za mazingira ya Biashara na kilimo (Mult-Actors Integration (MAI))  wanakutana katika halmasharauri ya mji wa iringa kwa kipindi cha siku mbili (tar 25-26).

Akifungua kikao hicho mkuu wa wilaya ya iringa mh Richard Kasesela amewaasa wadau wa MAI kuahakikisha jamii ya wafanya biashara na wawekezaji kuendana na kauli mbiu ya viwanda.

Mtandao wa mai unajumuisha secta binafsi, secta ya uma, asasi zisizo za kiserekali na wataalamu kutoka mtandao wa vyuo vikuu Tanzania.

0 comments:

Post a Comment